Kibajuni

Kibajuni (pia kinajulikana kama Kitikuu au Kitikulu) ni lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa na watu wanaojulikana kama Wabajuni wanaomiliki sehemu ya eneo la visiwa vya Bajuni na eneo la pwani ya Kenya, pamoja na baadhi ya maeneo ya kusini mwa Somalia yanayojumuiisha makundi machache ya makabila mbalimbali.[1][2]

Maho (2009) anaichukulia Kibajuni kama lugha ya pekee, lakini Nurse pamoja na Hinnebusch (1993) wameichukulia kama lahaja ya kaskazini mwa eneo la Waswahili.

  1. "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. 2018-02-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-02-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.
  2. Nurse, Derek; Hinnebusch, Thomas J.; Philipson, Gérard (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History (kwa Kiingereza). Univ of California Press. ISBN 978-0-520-09775-9.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search